Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

0 Likes     0 Followers     1 Subscribers

Sign up / Log in to like, follow, recommend and subscribe!

Recommendations

Episodes

Date Title & Description Contributors
2009-08-25

  Tukio 26 – Kumuaga Ayhan

Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kw...
  DW.COM | Deutsche Welle author

  Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli

Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee. Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mche...
  DW.COM | Deutsche Welle author
2009-08-25

  Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli

Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli"getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee. Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchez...
  DW.COM | Deutsche Welle author
2009-08-25

  Tukio 24 – Meza ya Mhariri

Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo. Paula, Philipp na Eulalia wanagundua kuwa wafanyikazi wa gazeti la Hamburg walitunga njama yote ya kuwek...

  Tukio 23 – Pezi la Papa

Paula na Philipp wanategua kitendawili cha mahali pa kwenda kumwangalia papa na kwa mara nyingine tena wanagundua ulaghai uliohusika. Hata hivyo mwanzoni sababu za tukio hilo si dhahiri moja kwa moja. Wakiwa katika harakati za kumtafuta mwanamichezo w...

  Tukio 22 – Mwanamichezo Aliyetoweka

Philipp na Paula wanafuata dalili za papa na kugundua jambo la kushangaza. Wanaingiwa na hamu zaidi wanapopata bao la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari bila mwenyewe na pia makala ya gazeti inayowachanganya. Wanapoepukana na zogo la umati wa watu, waa...