We retired this podcast, because we couldn't parse it for 10 consecutive times.
Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja.
Date | Title & Description | Contributors |
---|---|---|
2009-03-18 | Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya |
|

2009-03-18 | Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘ |

2009-03-18 | Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa |

2009-03-18 | Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa |

2009-03-17 | Matatizo Hotel Europa: Bomba la mvua (shower) limeharibika... Muhtasari wa sarufi: Kiulizio cha wakati |