We retired this podcast, because we couldn't parse it for 10 consecutive times.
Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.
Date | Title & Description | Contributors |
---|---|---|
2009-03-18 | Herr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa |
|

2009-03-18 | Andreas anatahayari... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi na kidhihirishi katika uhusika wa moja kwa moja (accusative) |

2009-03-18 | Kualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative) |

2009-03-18 | Andreas anatafuta tena kisingizio... Muhtasari wa sarufi: Vitendo visivyo kawaida (irregular verbs) |

2009-03-17 | Katika ukumbi wa hoteli: Frau Müller na Frau Hoffmann... Muhtasari wa sarufi: Vidhihirishi vya umiliki (possessive pronoun) |