We retired this podcast, because we couldn't parse it for 10 consecutive times.
Vipindi nyetu vinawapa fursa wasikilizaji wetu kufahamu masuala ya siasa na jamii barani Afrika
Date | Title & Description | Contributors |
---|---|---|
2013-08-14 | Hata katika karne ya 21, migogoro inaonekana kuwa jambo lisiloepukika duniani kote. Migogoro inaweza kusuluhishwa kwa njia ya amani kwa sababu ya utamaduni wa Kiafrika wenye mbinu nyingi za kutafuta suluhu. |
|

2013-08-12 | Je, umewahi kujiuliza vipindi uvipendavyo vya redio au televisheni vinatengenezwa vipi? Sasa Noa Bongo inakupa fursa ya kufahamu vyema yote yanayotokea kabla ya kutazama televisheni au kusikiliza vipindi katika redio. |

2013-08-06 | Louis anatembea kwa kiti cha magurudumu, Junior ni shoga, naye John ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi. Watu hawa watatu wanabaguliwa miongoni mwa jamii kutokana na hali zao za ulemavu, kijinsia na maumbile. Haingepaswa. |

2013-08-06 |
Imani Imesalitiwa โ Hadithi ya Udhalilishaji wa Kijinsia Barani Afrika Dhulma za kimapenzi ni tatizo kubwa kote barani Afrika. Nuru, Pato na Allan ni waathiriwa wa visa vya unyanyasaji wa kimapenzi. Vijana hao watatu wanakabilianaje na tatizo hili maishani? Msaada wanapata wapi? |

2011-04-07 |
Jumuiya za kiraia โ Kipindi 1 โ Mradi wa kandanda wa shirika lisilo la kiserikali la Mysa Katika kipindi hiki cha kwanza tunazungumzia juu ya mashirika ya kijamii na kupata nafasi ya kuijua klabu kubwa ya kandanda iliyoko katika moja ya mitaa mikubwa kabisa ya mabanda duniani huko nchini Kenya. |