Learn Swahili | SwahiliPod101.com   /     Extensive Reading in Swahili for Beginners #20 - Many Kinds of Signs

Summary

Learn Swahili with SwahiliPod101! Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources! -------Lesson Dialog------- ----Formal Swahili---- AINA MINGI YA ALAMA Kuna aina mingi za alama. Alama mingi ni za madereva Alama zina umbo tofauti Alama hizi maanisha nini? Alama zingine zina pande tatu. Alama inasema "wacha gari zingine zieende kwanza" Alama mingi ziko na pande nne. Hii alama inasema "kuwa makini wafanyakazi karibu" Hii alama inasema "Barabara imejikunja" Hii alama inasema "angalia kungulu" Hii alama inasema " angalia kombe wa majini" Hii alama inasema " Usiegeshe hapa" Hii alama inasema "Usiendeshe gari kwa kasi" Hii alama inasema "fuga ukanda" Alama zingine ziko na pande tano. Hii alama inasema " watoto huzuka barabara hapa" Alama zingine ziko na pande nane Hii alama ninasema nini? ----Formal English---- MANY KINDS OF SIGNS There are many kinds of signs. Many signs are for drivers. The signs have different shapes. What do the signs mean? Some signs have three sides. This sign says, “Let other cars go first.” Many signs have four sides. This sign says, “Be careful near workers.” This sign says, “The road bends.” This sign says, “Watch for deer.” This sign says, “Watch for turtles.” This sign says, “Do not park here.” This sign says, “Do not drive too fast.” This sign says, “Wear a seat belt.” Some signs have five sides. This sign says, “Children cross the street here.” Some signs have eight sides. What does this sign say? --------------------------- Learn Swahili with SwahiliPod101! Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!

Subtitle
Duration
03:07
Publishing date
2020-03-09 09:30
Link
https://www.swahilipod101.com/lesson/extensive-reading-in-swahili-for-beginners-20-many-kinds-of-signs/
Contributors
  SwahiliPod101.com
author  
Enclosures
https://mdn.illops.net/swahilipod101/ERISFB_L20_030920_sapod101.mp3
audio/mpeg